HECHE KUUNGURUMA KESHO KILWA KWENYE MKUTANO WA HADHARA
0
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara Mhe. John Heche Juni 2,2026 amewasili Kilwa Kivinje, ambapo atakuwa mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara utakaofanyika kesho tarehe 03 Juni 2026 Kilwa Kivinje.
Hata hivyo Mhe. Heche mapema amefanya zoezi la kupandisha bendera za Chama katika vizimba mbalimbali vya chama Kilwa Kivinje, Mkoa wa Lindi.
Post a Comment