RAIS SAMIA ASHIRIKI KUMBUKIZI YA KARUME



RAIS wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Shada la Maua katika Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Abeid Amani Karume, baada ya Dua iliyofanyika katika Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Zanzibar leo Aprili 07, 2026, katika Siku ya Kumbukumbu ya (Karume Day).




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post