Bi harusi mtalajiwa Ivona Machumu
Misa ya shukrani ya send off ya Binti wa Sixbert Rwezaula imefanyika katika Kanisa la Roman Catholic, Parokia ya Yohane Maria Vianney, Mhunze, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Misa hiyo imeongozwa na Padre Deusdedit Nkandi, Jumamosi, Aprili 11, 2026 akimtaka Ivona katika safari hiyo mpya ya maisha ya ndoa anayoiendea,awe mwanamke wa hekima, upendo na uvumilivu. "Mungu akuongoze katika kila hatua, akujalie moyo wa kujitoa, heshima na uaminifu uwe taa inayoangaza ndani ya familia yako, ukijenga ndoa yenye msingi wa imani, amani na furaha".Padre Deusdedit Nkandi aliyeongoza misa hiyo ya shukrani
Padre wa Parokia ya Mt. Yohane Maria Vianney -Mhunze,Jimbo Katoliki la Shinyanga Baba Paroko. Josephat Mahalu
Afisa uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Sixbert Rwezaula
Post a Comment