PICHA: RC SHIGELA NA DC MKUDE WAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BONDA WILLIAM NKINGA NYUMBANI KWAO UKENYENGE-KISHAPU

Na Sumai Salum-Kishapu

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
 Mkuu wa Wilaya ya Arusha mkoani Arusha Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Fadhili Mvanga akizungumza kwenye mazishi ya aliyekuwa Afisa hesabu mwandamizi Wizara ya kilimo aliyefariki Juni 15, 2026 Ndg. Bonda Nkinga, nyumbani kwao Kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu mkoani Shinyanga juni 20, 2026
Mjane wa marehemu Bonda Nkinga
Mwakilishi kutoka Wizara ya kilimo











































































































































































 






0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post