Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amani iliyopo nchini ni hazina ya shughuli za kiuchumi na kijamii.
Akizungumza leo Aprili 21, 2026 katika kongamano la mama na baba lishe lililofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, Dkt Samia amesisitiza kuwa bila amani, hakuna uwezekano wa kujenga uchumi wala shughuli za kijamii.
“Mmeshuhudia siku tatu zile, hakukuwa na kuchezana, hakuwa na harusi wala ‘kitchen party’, hakukuwa na mimina wala mkusanyiko kwenye bar. Hakukuwa na chochote zilikuwa siku tatu tu,” amesema Dkt Samia.
Mkuu huyo wa nchi, ametumia jukwaa la kongamano hilo,kuwaomba Watanzania kueindeleza amani ya Taifa

إرسال تعليق