GARI ILIYOBEBA WAANDISHI WA HABARI YAPATA AJALI SHINYANGA,BOAZ AFARIKI DUNIA


Boaz enzi za uhai wake


Taarifa za ajali


Ndugu wanachama, MISA Tanzania. inasikitika kutangaza kuwa wanachama wenzetu


Frank Mshana - ITV
Jonson James - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga, wamepata ajali Mkoani Mei 19,2026 majira ya 12:00 jioni, eneo la Usanda, wilaya ya Shinyanga , Mkoa wa Shinyanga walikuwa wanatoka kwenye ziara Tinde.


Pia katika ajali hiyo Boaz amefariki Dunia


wanachama wetu wapo hospita ya rufaa ya Mkoa.


Tuwaombee wapate nafuu


Edwin Soko
Mwenyekiti
20.05.2026

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم