WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI
0
_Atakuwa mgeni rasmi katika Maonesho ya Nanenane, Kanda ya Mashariki_
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleka mkoani Morogoro, ambapo leo Agosti 4, 2026 atakuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) Kanda ya Mashariki.
Maadhimisho hayo yanawakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi, ambapo pamoja na mambo mengine, maonesho hayo yanalenga kuhamasisha matumizi ya teknolojia za kisasa.
Post a Comment