MWENYEKITI SENETI MKOA WA IRINGA JOSEPH MASANIRO AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI YA URATIBU

Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Iringa Joseph Masaniro George, Ameongoza Kikao Maalumu cha Kamati ya Uratibu Seneti Mkoa wa Iringa, Kilichofanyika tarehe 01 Septemba 2026 , Ukumbi wa Nyerere Ofisi za CCM mkoa Wa Iringa kikao chenye lengo la Kujadili Masuala Mbalimbali yanayohusu Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndani ya Mkoa wa Iringa.






0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post