BARAZA LA MADIWANI KISHAPU LAJADILI UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAENDELEO ROBO YA KWANZA 2026/2027

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Josephati Limbe, akizungumza katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba). Mkutano huo umeanza Oktoba 28 na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Niceforus Mgaya, akizungumza kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba). Mkutano huo umeanza Oktoba 28 na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Peter Masindi, akizungumza katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba). Mkutano huo umeanza Oktoba 28 na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu
Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Enock Reuben, akizungumza katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba). Mkutano huo umeanza Oktoba 28 na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Issa John, akizungumza katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba). Mkutano huo umeanza Oktoba 28 na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.
Kaimu Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kishapu, Mkoa wa Shinyanga, Regina Ndulu, akizungumza katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba). Mkutano huo umeanza Oktoba 28 na unatarajiwa kuhitimishwa Oktoba 29, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.

Na Sumai Salum-Kishapu


Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, mkoani Shinyanga, leo Oktoba 28, 2026, limeanza mkutano wake wa kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo kutoka kwa Waheshimiwa Madiwani wa Kata mbalimbali kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2026/2027 (Julai–Septemba).


Barza hilo limefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, likiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Josephati Limbe, huku likitarajiwa kumalizika hapo kesho oktoba 29,2026

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post