Emmanuel amefanya uamuzi huo leo Oktoba 6, 2026, wakati wa mkutano wa Diwani wa Kata ya Ndoleleji, uliofanyika katika Kijiji cha Ndoleleji kwa lengo la kutoa ufafanuzi kuhusu kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa kijiji hicho.
Amesema uamuzi wake wa kuhamia CCM umefikiwa baada ya kutafakari kwa kina kuhusu namna bora ya kushiriki katika shughuli za maendeleo na kushirikiana na wananchi pamoja na viongozi katika kutatua changamoto zinazowakabili.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ndoleleji, Mhe. Josephat Limbe akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Ndoleleji, ukiwa na lengo la kuwapa wananchi majibu kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Kata hiyo Oktoba 6, 2026
Post a Comment