PICHA: KISHAPU JOGGING CLUB YAKUTANA NA UKENYENGE JOGGING CLUB KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA-UKENYENGE

Na Sumai Salum-Kishapu

Kishapu Jogging Club leo Oktoba 17, 2026, imeelekea Ukenyenge kuungana na Ukenyenge Jogging Club kufanya mazoezi ya pamoja, huku Mwenyekiti wa Kishapu Jogging, Revocatus Mboya, akisisitiza umuhimu wa mazoezi katika kuimarisha afya, kudumisha umoja na kukuza ushirikiano miongoni mwa wanajamii. 
Bonyeza hapa kutazama picha zaidi👇👇

        https://photos.app.goo.gl/S1c3nHefdq2wEhdH8

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post