BALOZI KAGANDA AANZA RASMI MAJUKUMU YAKE NCHINI KOREA


Balozi Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Korea Mheshimiwa Noel Kaganda amepokelewa rasmi katika Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Seoul kuanza rasmi majukumu yake ya uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Korea.




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post