Na Sumai Salum- Kishapu
Kikundi cha ufugaji wa mbuzi Mwamashele ,Ujenzi wa matundu 6 ya choo, kichomea taka na mfumo wa maji Zahanati ya Ngofila, Umaliziaji wa vyumba viwili vya madarasa Shule ya Msingi Ngunga, Umaliziaji wa Zahanati ya Ikonokelo,Ujenzi wa vyumba vya madarasa, nyumba za walimu na matundu ya choo Shule ya Msingi Bukingwamandege ,Kikundi cha vijana wa bodaboda Maganzo,Ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya choo Shule ya Msingi Bulima.

Baadhi ya Wanafunzi wa Dalasa la Sita Shule ya Msingi Bukingwamandege wakifurahia uboreshewaji wa miundombinu ya Madalasa

Wanafunzi wa Dalasa la tatu shule ya msingi Bukingwamandege wakifurahia miundombinu bora ya kujifunzia shuleni hapo

Jengo hili (picha ya chini) lilijengwa kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Kishapu Shule ya Msingi Bukingwamandege

Mwenyekiti wa Halmasahuri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango Mhe. Josephat Limbe akizungumza wakati wa ziara hiyo ya siku mbili kuanzia Julai 21-22, 2026
Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Josephat Limbe kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Lucy Mayenga imefanya ziara ya siku mbili, Julai 21–22, 2026, kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na mtambo wa Excavator wa Halmashauri.
Miongoni mwa miradi iliyokaguliwa
Kikundi cha ufugaji wa mbuzi Mwamashele ,Ujenzi wa matundu 6 ya choo, kichomea taka na mfumo wa maji Zahanati ya Ngofila, Umaliziaji wa vyumba viwili vya madarasa Shule ya Msingi Ngunga, Umaliziaji wa Zahanati ya Ikonokelo,Ujenzi wa vyumba vya madarasa, nyumba za walimu na matundu ya choo Shule ya Msingi Bukingwamandege ,Kikundi cha vijana wa bodaboda Maganzo,Ujenzi wa vyumba vya madarasa na matundu ya choo Shule ya Msingi Bulima.
Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na matundu ya choo Shule ya Msingi Mwamasololo, Umaliziaji wa vyumba viwili vya maabara Shule ya Sekondari Bunambiyu pamoja na Ujenzi wa matundu 5 ya choo, kichomea taka na mfumo wa maji Zahanati ya Itongoitale.
Ziara hiyo inaendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya Kamati hiyo na Halmashauri ya Kishapu kuhakikisha inafuatilia utekelezaji miradi hiyo na kukagua ubora wa miradi ikilinganishwa na thamani ya fedha.

Baadhi ya Wanafunzi wa Dalasa la Sita Shule ya Msingi Bukingwamandege wakifurahia uboreshewaji wa miundombinu ya Madalasa
Wanafunzi wa Dalasa la tatu shule ya msingi Bukingwamandege wakifurahia miundombinu bora ya kujifunzia shuleni hapo
Picha za miradi mbalimbali liyotembelewa

Post a Comment