PICHA: DC MASINDI AKIONGOZA MAZOEZI YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU AGOSTI 18, 2026 -KISHAPU

Na Sumai Salum-Kishapu

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Peter Masindi aongoza mamia ya wakazi wa wilayani hiyo Agosti 15, 2026 kwenye mazoezi ya pamoja ya kujiandaa kwa kupokea na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa Agosti 18,2026 mkoani humo,. Mwenge wa Uhuru utapokelewa kutokea moani Mwanza huku makabidhiano hayo yakifanyika katika viwanja vya shule ya msingi Mwigumbi na Wilaya ya Kishapu ikiwa ndiyo ya kwanza kimkoa.
Mkuu wa Wilaya ya kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Peter Masindi akizungumza Agosti 15, 2026





































0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post