Homehabari WAZIRI MAVUNDE AFANYA ZIARA MKOANI KATAVI Tuesday, May 12, 2026 0 Mhe Anthony Peter Mavunde, Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Mei, 12, 2026 amefanya ziara Mkoani Katavi - Mpanda kwa ajili ya kutembelea na kufuatilia shughuli mbalimbali za sekta ya madini.
Post a Comment