Na Sumai Salum - Kahama
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka 2026 Mkoa wa Shinyanga yalifanyika wilayani Kahama viwanja vya Uwanja wa Taifa vilivyopo Kata ya Majengo, yakihusisha mamia ya wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali za umma na binafsi. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, ambaye aliungana na wafanyakazi kuadhimisha mchango wao katika maendeleo ya taifa.
Katibu Tawala mkoani Shinyanga CP. Salum Hamduni
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mhe. Frank Nkinda







Post a Comment