PICHA: SHEREHE ZA MEIMOSI 2026 MKOANI SHINYANGA

Na Sumai Salum - Kahama

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mwaka 2026 Mkoa wa Shinyanga yalifanyika wilayani  Kahama  viwanja vya Uwanja wa Taifa vilivyopo Kata ya Majengo, yakihusisha mamia ya wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali za umma na binafsi. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, ambaye aliungana na wafanyakazi kuadhimisha mchango wao katika maendeleo ya taifa.
 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita
Katibu Tawala mkoani Shinyanga CP. Salum Hamduni
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Mhe. Frank Nkinda

Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Peter Masindi
Katibu Tawala wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Fatma Mohamed
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kishapu Emmanuel Johnson







































































































0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم