PICHA: MAZOEZI YA PAMOJA YA KISHAPU JOGGING CLUB WAKIWAKARIBISHA UKENYENGE JOGGING CLUB


Na Sumai Salum – Kishapu


Klabu ya Kishapu Jogging Club imefanya mazoezi na kuwakaribisha Ukenyenge Jogging Club, ambapo wanachama wamekimbia umbali wa kilomita 11.6 Jumamosi ya Juni 13,2026.


Mazoezi hayo yamelenga kuimarisha afya ya mwili, kujenga mshikamano na ushirikiano kati ya wanachama wa klabu hizo, pamoja na kuhamasisha jamii kushiriki katika shughuli za mazoezi kwa ajili ya afya bora.
















































































































































































 

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم