Mwalimu wa Shule ya Sekondari Shinyanga iliyoko wilaya ni Kishapu mkoani Shinyanga (Shy Bush) ,David Peter Ipamba, amezindua kitabu chake kinachokwenda kwa jina la “Maisha Yangu, Elimu Kwako”, kinachoeleza safari ya maisha yake, changamoto alizopitia, maamuzi, juhudi na watu waliomsaidia kufikia hatua aliyonayo sasa, huku akiwahamasisha vijana kutokata tamaa katika kutimiza ndoto zao.
Uzinduzi uliofanyika Agosti 6, 2026 shuleni hapo
إرسال تعليق